Sunday, August 06, 2006

Salaala!

A MAN WOKE HIS WIFE IN THE MIDDLE OF THE NIGHT TELLING
HER..................................

"Bibi eeh? Bibiye? 'Nashikwa na mkojo!!"

The wife said.............. "Salaalah! Si wende kwani mpaka uniamshe???"

He said "HAYA BIBIYE!!" He came back saying again "BIBIYE! BIBYE! Nataka nikuambie maneno ya ajabu!!"

Now angry for being woken up for the second time.....She said "Salaala!
Mwanamume kama hilo tembo huliwezi, usilewe yakhe bwana!! Haya, kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka kuniambia tena?"

He said "Nilipokwenda chooni, nilipofungua mlango taa ikawaka na
nilipofunga mlango taa ikazimika yenyewe....Si maajabu tena hayo!?!"
The wife sat up! & said "Mlanisi, shetwani mjukuu wa Ibilisi Mshenzi
weewee!!!!! Ushakojoa tena ndani ya fridge!!!!!!"

6 Comments:

Blogger Adrian said...

hehe - ati kwa fridge!!

5:25 PM  
Blogger Uaridi said...

Shoot the fella!!!

5:57 PM  
Blogger Githush said...

A few weeks ago, I bore the brunt of this joke. Apparently rumor has it I got soo wasted that i did the very samething. Funny it is though.

6:02 PM  
Blogger Wassapangaz said...

Thanks for the love

11:48 PM  
Blogger JM said...

What a shame to your kindergarten teacher!

9:11 PM  
Blogger muthonis said...

ati nini? kabati ya barafu ikawaje ndio msalani tena? maajabu haya!!

4:38 AM  

Post a Comment

<< Home