Friday, March 03, 2006

Mchongoano,Hit me!

Mbuyu wako huhepa job kwenda kuswing na gate

Nyinyi wengi kwa family yenu mpaka munaweka bumps musigongane

wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch!

Mbuyu wako mnono mpaka akikalia ashu inkuwa kobole mbili!
LOL

150 Comments:

Blogger KenyanMusings said...

LOOOOOOOOOOOL. That one for swinging on the gate wezad me!!!

ayayyayyyaiiii.

Nyinyi mko poor mpaka kwa 10 bob zenu Moi amevaa vest imeraruka.

5:09 AM  
Blogger gishungwa said...

ati wewe ni mweusi mpaka badal ya wasee kukuita wao huimbai le advert ya kiwi" hebu kitokeze , jionyease simama mbele ya watu..."
great one

5:30 AM  
Blogger Kelitu said...

nyanyako mzee mpaka viatu zake zinasema "Air Moses and the Burning Bush"

2:40 PM  
Blogger Adrian said...

unfortunately i was never the best at mchongoanos - and the years in exile definitely haven't helped. so i'll just sit and enjoy...

4:52 AM  
Blogger Life Dancer said...

"Mchongoano,Hit me!"
This post rocks esp. the third one.
I blogged this post "Mchongoano,Hit me!"..

I have started a blog dedicted to mchongoano.
Check it out @ http://mchongoano.blogspot.com/

10:47 AM  
Blogger bomseh said...

budako fala hadi alipoingia k-bu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa.

3:35 PM  
Blogger bomseh said...

ati wee mweusi mpaka ukikutana na mzungu asubuhi anakushow good evening!

3:37 PM  
Blogger emmah said...

Emmah
wewe ni mnono mpaka uki pigwa picha ina andikwa to b continued

12:12 PM  
Blogger Carl said...

Hii site ni noma tu sana!! keep it up dudes.

11:19 AM  
Blogger Marto said...

Tv yenyu ni mzee mpaka safo zikipita zinawacha vumbi kwa nyumba.

10:57 AM  
Blogger Marto said...

Nyinyi wadosi mna screen kubwa mpaka Tom & Jerry wakikimbishana wanapumzikia katikati juu ya kuchoka.

11:01 AM  
Blogger Unknown said...

hi site ni tight keep up.nikonapanga mcho.. zangu n al be back with a bang! atha wise hea is :ati wewe unajua programming comp mpaka ulipoenda brain scan hosi machine ili read"error"-by Doki

5:56 AM  
Blogger Wawa said...

These mchongwanos are a killa... wacha tu... ati wewe ni bow-legged na manzi wako knock-kneed, hadi mkisimama pamoja, mnaspell OX!

3:54 PM  
Blogger Wawa said...

These mchongwanos are a killa... wacha tu... ati wewe ni bow-legged na manzi wako knock-kneed, hadi mkisimama pamoja, mnaspell OX!

3:55 PM  
Blogger Unknown said...

cheki,

Ati wewe in mfupi mpaka ukimbao, una anguka!!



FROM NAIROBI!

4:33 AM  
Blogger Unknown said...

manzi yako mnono ,ukimpeleka kwa cinema, ana sit next to everybody!

4:36 AM  
Blogger Unknown said...

unakichwa bigi, ukifikiria unasikia echo!

4:40 AM  
Blogger Unknown said...

wewe mzee,mpaka ati wewe ndio uli wipe table ya the last supper!

wewe ni fala, uligongwa na a parked car.

4:58 AM  
Blogger Unknown said...

ati spectacles zako ni thick mpaka ukiangalia atlas, una ona watu waki wave!

5:08 AM  
Blogger SOCHA said...

Hii site ni noma jo.........Ati wee ni mweusi mpaka wameandika ...SCRATCH TO REVEAL .....kwa I.D yako ya shule

2:45 AM  
Blogger gichuru said...

Wewe ni danda ukiingia lift unafinya number tisa ikufikishe isich

Ati wewe ni danda ulienda sunday school parallel programe

Wewe mshamba mara yako ya kwanza kununua ballgum ulisema hutaki ya green ati haijaiva

1:07 AM  
Blogger kukdus(KD) said...

noma jo

ati una shida ya ngozi mpaka ukikaza rasa unalia, ukiinua mkono unacheka.

9:14 AM  
Blogger yenu said...

Nyumba yenu imetengezwa na nyasi wezi wakikuja wao husema fungua mlango au tulete ng'ombe.

12:06 AM  
Blogger yenu said...

Nyumba yenu imetengezwa na nyasi wezi wakikuja husema fungua mlango au tulete ngo'mbe.

12:07 AM  
Blogger alesh said...

nyumba yenu ni ya round lakini nyinyi wote mnang'ang'ana kulala kwa corner.

11:27 AM  
Blogger Unknown said...

ATI KWENU IMEJENGWA NA MCHANGA, WEZI WAKI KAMU WANA SEMA 'FUNGUA AMA TUKOJOE'

9:44 AM  
Blogger keith said...

we ni danda hadi unabeep upate bonga points

5:49 AM  
Blogger ODM-DAMU said...

Ati kwenu nyinyi ni wengi mpaka ukiingiza kifunguo kufungua mlango unasikia "Wacha kunifinya"

1:24 AM  
Blogger ODM-DAMU said...

Ati kwenu watoto wote ni ma boys solo mpaka last born wenu anaitwa "Ah nilijua tu."

1:25 AM  
Blogger ODM-DAMU said...

Ati kwenu watotot ni wengi mpaka lst born anaitwa,"Ah Tosha"

1:26 AM  
Blogger ODM-DAMU said...

Ati wewe ni mwizi excess mpaka ukishika ten bob prezzo anabaki na vest

1:28 AM  
Blogger ODM-DAMU said...

ati meno zako zina spaces mob mpaka ulimi yako inakaa ni kama iko kwa jela

1:29 AM  
Blogger \Rhodah Karimi said...

Ati ana dhambi nyingi mpaka shetani akikusikia anasema excuse me pliz

8:49 AM  
Blogger kman said...

Ha!
manze ukona kihara lakini bado we hu insist barber akunyoe box!

Budako huhepa job ndio akuje home ku watch kids next door!!

1:13 PM  
Blogger kasweety said...

Ati nyanyako mzee hadi amejaa matope kwa armpits...salaala!

6:44 PM  
Blogger kasweety said...

mbwa wenyu mdaku hadi badala ya kubark husema "nteren nteren!"

6:45 PM  
Blogger Kui said...

Nilikupata umezubaa ukiangalia chupa ya orange juice...ati juu imeandikwa "concentrate".

6:22 AM  
Blogger BEE said...

Nyanya yako Kipara lakini bado analilia CURL KIT

12:14 PM  
Blogger BEE said...

We Mshamba ulisikia computer inashika VIRUS ukainunulia condom

5:42 PM  
Blogger mukuki said...

kwenyu chapo za klisi nyi uzipika january alafu munazifile hadi dise.

5:26 PM  
Blogger mukuki said...

kwenyu nyinyi wachafu hadi mende na nzi zimeanza kucomplain ati mnatupa.

5:31 PM  
Blogger mukuki said...

ati wewe uwet bed hadi masayako amehang kibao kwa bed yako imeandikwa"onyo kali,usikojoe hapa".

5:39 PM  
Blogger grim reaper said...

Ati kwenu nyinyi ni wagondi mpaka helicopter ikipita juu, inazima engine na mataa halafu ina tiptoe, ndio musigondi propeller

9:03 AM  
Blogger lawyersta said...

mamako mnono mpaka akipanda kwa weighing machine inajiandika "no cows allowed"

10:22 AM  
Blogger lawyersta said...

wewe ni mjinga mpaka ulifail blood test!!

10:25 AM  
Blogger lawyersta said...

wewe ni mweusi mpaka ukishootiwa bullet iarudi kuuliza wapi target!!

10:26 AM  
Blogger lawyersta said...

Wewe una kichwa kubwa ukienda salon kusukwa nywele, mwenye kukusuka
akimaliza side moja ana chukua taxi kwenda hio side ingine.

10:34 AM  
Blogger lawyersta said...

kwenyu nyinyi ni wengi mpaka mko na number plate

10:34 AM  
Blogger lawyersta said...

nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted

10:35 AM  
Blogger lawyersta said...

nyinyi ni wengi father akicome home anasema "wananchi?"

10:36 AM  
Blogger lawyersta said...

Ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa

10:38 AM  
Blogger lawyersta said...

nyinyi m-mesota mpaka mnalipa kiberiti na monthly installments!!

10:39 AM  
Blogger lawyersta said...

wew ni mshamba mpak siku yako ya kwanza kununua gari ulisema nifungie kwa karatasi!!

10:40 AM  
Blogger lawyersta said...

umesota mpaka uwezi kuafford kupay attention!!

10:44 AM  
Blogger lawyersta said...

tv yenyu umezeka mpaka inasoma news za jana na leo!!

10:46 AM  
Blogger lawyersta said...

kwenyu mko wengi mpaka mnaritrenchiwa!!

10:47 AM  
Blogger lawyersta said...

tv yenyu ndogo mpaka Kasavuli hupiga magoti kusoma news!!

10:49 AM  
Blogger lawyersta said...

umekonda mpka ukishuta unaskia hio uchungu!!

10:50 AM  
Blogger lawyersta said...

tenje yenyu deadly inamix kiss na ramogi!!

10:51 AM  
Blogger lawyersta said...

wewe mjinga mpaka ulifail baby class!!

10:52 AM  
Blogger lawyersta said...

nyinyi wachafu mpaka panya zilihama!!

10:54 AM  
Blogger lawyersta said...

weww ni mweusi mpka ukisimama kwa corner mtu anasema pale kuna short cut!!

10:55 AM  
Blogger lawyersta said...

m-meokoka mpka mnapika ugali na msalaba!!

10:57 AM  
Blogger lawyersta said...

wew ni mwerevu mpaka ukienda mpregnancy test unapata B+

10:59 AM  
Blogger lawyersta said...

m-meokoka mpaka wezi wakikuja kwenyu umbwa zenyu zinawika "iba tu mungu anakuona"

11:01 AM  
Blogger lawyersta said...

wewe ni mkonde mpaka ukisimama kwa ukuta inakaa kama ni crack!!

11:06 AM  
Blogger lawyersta said...

Ngombe yenu ni mzee mpaka inatoanga yorghurt

11:08 AM  
Blogger lawyersta said...

we mfupi jo unashuka kwa kitanda ya juu ya double decker na parachute

11:09 AM  
Blogger lawyersta said...

Mamako m..Lazy..anapika chapo moja na anatoa fotocopy ya hizo zingine

11:10 AM  
Blogger lawyersta said...

wewe ni mshamba mpaka the first time ulipanda mathree ulitandika vitambaa

11:10 AM  
Blogger lawyersta said...

Kwenyu nyi wengi badala ya sofasets muko na viti za stadium.

11:11 AM  
Blogger Map said...

Nyinyi mmesota hadi the first time mlisikia story ya SMS mllidhani ina maanisha Send Me Something.

10:54 PM  
Blogger jaguar P@W said...

i love this blog site .....

1.ati kuku zenu ni gisty mpaka zikitagaa mayai zinapeleka kwa fridge

2. Ati kuku zenu ni chafu mpaka zinalay mayai zimeoza.or

5:19 AM  
Blogger Unknown said...

bobo...
This is so cool............

hao yenyu ni ya ynasi wezi wakicome wao husema"fungua mlango ama tulete ng'ombe".

10:58 AM  
Blogger fleexy said...

ati we ni mangaa hadi sunday skool ulipelekwa apprved

manzi yako ni mfupi hadi akimeza njugu anapata boll

ati manzi yako ni mfupi hadi akifungua mdomo una cheki shmo yarasa

8:05 AM  
Blogger fleexy said...

aah chali yako ana matako KUBWA hadi akilala blanketi anuma swallow

manze umesota hadi chapo weupika na pasi ya makaa

8:10 AM  
Blogger fleexy said...

kamanzi kako ni kasmall hadi ukitaka kukapiga munju unatumia straw

8:40 AM  
Blogger primeweb said...

Nice guys. U r good.

We mamako alikula chapo b4 uzaliwe, ulitoka umevaa kombat

7:46 AM  
Blogger DaVinci said...

We ni 7 feet tall shingo yako ni 5feet

Kwenu nyi ni wengi mkikutana munaulizana, we ni nani?

Hao yenu ni bigi mpaka in ma slumz ndani.

Mdomo yako ni bigi unaeza chew loaf ya bread ka chiklet.

Nyi kwenu ni masagodi hadi TV yenu inashika channel Heaven.

6:55 AM  
Blogger Unknown said...

manze we ni mshort sana mpaka ukimbao unadunda down

10:33 AM  
Blogger g said...

I lov them.They are tight!
Ati we ni mweusi mpaka ukisnapiwa,photo ina jiadika 'He was here!'

8:34 AM  
Blogger DaVinci said...

una mbo ingine ndogo, ukitaka kunyora lazima umbao ndio uiget

9:14 AM  
Blogger g said...

Ongoja,...Ati we ni m'Evil Mpaka Madevil wana demostrate juu ati unawawai compe!!

8:34 AM  
Blogger g said...

ogoja,... Ati we ni m'evil mpaka devil ame post complain waka God ati unachapa compe!!

8:37 AM  
Blogger Unknown said...

ati nyii ni wagodi mpaka tv yenu haileti adverts!!

7:42 AM  
Blogger DENNIS said...

GUYS USE BETTER KISWAHILI YOU ARE BETTER THAN THIS BY THE WAY(NYANYA HANA MENO LAKINI NI EXPERT WAKUFUNGUA CHUPA YA COKE)BEAT THAT

5:21 PM  
Blogger wambo said...

ati dogi yenu ina ulimi heavy mpaka ikibark unasikia wuuth! wuuth!

2:14 PM  
Blogger DaVinci said...

Una mobile phone ingine mzee, ikiisha credo inashow, insert coin kwa screen.

8:09 AM  
Blogger wambo said...

matiti za nyanyako zina sag hadi aliona azitumie kama mshipi

12:32 PM  
Blogger Unknown said...

wewe in mweusi mpaka ukijiseti kea wall ya white wathii wanathanii no short cut

11:04 PM  
Blogger Unknown said...

Ati wewe no mnono mpaka ukiturn ukirudi wanaangusha welcome back party........

11:57 PM  
Blogger Dennis said...

kipara yako ni kubwa watu lazima wasimame waone nywele yacko.

10:20 PM  
Blogger Dennis said...

u liniambia u likua na gari niki come kwa garage yenyu mulikua na ka tuk tuk. when i went inside ni liona panya zikihama.

10:24 PM  
Blogger Dennis said...

we ni mweusi ukitoka nje watu wanathani uko black whole. watu waki look close at u wana ona 2 ilikua flava flaves brotha.

10:28 PM  
Blogger Unknown said...

Nimo;Waoooo aki mazee i cat blive dis wachaa tu:
eti kwenyu nyinyi ni waoga mpaka mnafunga gate na safety pin,hahaaa

4:44 AM  
Blogger TANK said...

skia hii,

Ati wewe uko na kisogo soooo
Ukikimbia halafu ukate kona , unagusa lami

5:51 AM  
Blogger Unknown said...

Ati wee una mapua bigest hadi unanusa chakula ya kesho., ati wee mjinga, uli2mia mwakenya kufanya blood test.

3:22 PM  
Blogger Xhrispine said...

Hahaa i cnt help laughing!..skia hii: Ati we ni mnoma hadi ndoto zako
huanzia.."previously on.."

3:24 AM  
Blogger Xhrispine said...

Ati wewe ni mslim na dame yako ni mnono mkitembea nayeye usiku mpatane na polisi wanauliza? Wewe msichana kwanini unatembea na silaha?

4:00 AM  
Blogger Kattz said...

Kwenu TV yenu ndogo Njoroge Mwaura aliloose wieght atoshee...

2:42 PM  
Blogger kas said...

nyumbani kwenu kuchafu mpaka cockroach wanaingia wamevaa boots na nose mask.

1:05 AM  
Anonymous Anonymous said...

Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.

5:46 AM  
Blogger johnopiche said...

mko rich mpaka mna graze ng'ombe zenu na remote

10:09 AM  
Blogger joseph said...

tis site nideadly jo!

8:36 AM  
Blogger joseph said...

na hii je, we una kichwa big mpaka ikiingia kwa swimo watu udhani ni island

8:40 AM  
Blogger JP said...

kwenu mmeokoka sana mpaka mkieka food kwa table, mnaimba chorus ndiyo muombee chakula !!!!

4:36 AM  
Blogger JP said...

kwenu ni wadosi mpaka mnaua siafu na gun.

4:38 AM  
Blogger JP said...

church yenu imeendela mpaka badala ya watu kulia wakiomba, wana vibrate

4:44 AM  
Blogger Unknown said...

MKO WENGI HADI WATU WA CENSUS WANAKUJA NA POLISI KUSHIKA WALE WAMEKOSA VITI ETI NYUMBA IMEBEBA EXCESS

3:31 AM  
Blogger Unknown said...

budako ako na tumbo kama ya kanjo ya nairobi

3:38 AM  
Blogger marci said...

eti mamako ni mnono mpaka ana stretchmarks kwa uso

7:30 AM  
Blogger Unknown said...

ati we ni mdark mpaka unakosa kuhave bright ideas!

5:07 AM  
Blogger Unknown said...

ati wewe ni mweusi mpaka unakosa kuhave bright ideas

5:08 AM  
Blogger Jerry said...

Ati manzi yako ana pimples mob,akipigwa picha,yu andikwa tu'join the dots'

1:48 PM  
Blogger M.J said...

good stuff this is for all of you> mkona mkono rough mpaka mkishika mouse ya comp ,comp inasema found new hard ware.mkona nywele mingi kwa armpit mki va vest mtu anawauliza umebai hizo kuku wapi.

5:50 AM  
Blogger Unknown said...

budako ni mzee hadi akipanda ju ya mti anarap zilizopendwa.

3:29 AM  
Blogger Unknown said...

kwenyu mko msoto design mende zinajitegemea!!!

7:20 AM  
Blogger Unknown said...

we ni mweusi siku ulizaliwa masako aliwika 'lo kameungua'

3:49 PM  
Blogger Unknown said...

wee ni m-bright sana na manzi yako ni danda sana hadi anataka kukuse kung'arisha sufuria eti wewe ni super-bright

1:09 PM  
Blogger Unknown said...

ati manzi yako amesota mpaka badala ya kutumia "always" ye hutumia "sometimes"!!

3:01 PM  
Blogger Alfie said...

KALF....2'all of u,hao yenu chafu hadi nzi za neiba zinaita nzi za kwenu' Chokora,.....mkizaliwa mlikuwa wanono ikabidi ur mum awaite jibebe-mlikuwa sura mbaya hadi wn u wa' born mliekwa kwa incubator tinted

11:23 PM  
Blogger tt said...

Tunga sentensi ukitumia neno 'jumamosi' .... Omosh, usiwase jiko ju mamosi tajaa kwa nyumba.


Tunga sentensi ukitumia neno 'Ukurasa' .... Mwalimu aliandika kwa ubao uku rasa zikitingika....

11:46 AM  
Blogger sweet killer di real mc'coy said...

Eti nimesikia.......Mbuyu wenyu mshort ana committ suicide kwa pavement!;-D L0L!

9:29 AM  
Blogger sweet killer di real mc'coy said...

Waseee...nimesikia mbuyu wenyu nimshort ana commit suicide kwa pavement!;-D

9:32 AM  
Blogger dj fulstop said...

una sura mbaya hata badala ya picha kuto tilm inatou x-ray

5:26 AM  
Blogger Rachael Mbithi said...

Gari yenu ni mzee hadi ikiruka Bump baba anasema shukeni mpange viti!

7:25 AM  
Blogger Simba Safaris Africa said...

Naskia wewe ni chopii hadi viti zako zikispoil instead ya kuzipeleka hardware unamwita chairman.....

8:18 AM  
Blogger Omondi Seko. said...

Hey, very nize.

8:01 AM  
Blogger princemoha said...

simu yako ni noma badala ya kuitisha PIN inaitisha msumari

7:47 AM  
Blogger princemoha said...

simu yako ni noma badala ya kuitisha PIN inaitisha msumari

7:49 AM  
Blogger nyang'au said...

paka yenu ni nzee imebakisha siku moja iwe simba.

7:33 AM  
Blogger nyang'au said...

nyinyi ni wachoyo eti mkipika chapati mna weka notice inasema "tumehama"

7:39 AM  
Blogger nyang'au said...

asubuhi, asubuhi sembe na orbit

7:40 AM  
Blogger itsloltime said...

lolol

http://itsloltime.blogspot.com

9:44 PM  
Blogger Nyani said...

We ni mstupid ulipoulizwa green inasimamia ni kwa flag ya kenya ulisema mpesa

10:26 AM  
Blogger Nyani said...

We ni mchafu tumbo hadi minyoo husuffer cholera outbreaks

10:28 AM  
Blogger Nyani said...

Maze una mdogo bigi hadi uchafu huwaga vi2 ka kijiko na kifuniko ya sufuria ivi

10:35 AM  
Blogger Gaddafi said...

Ati we ni mjinga mpaka slipas zako zime andikwa vah hapa.

11:12 AM  
Blogger papaa4 said...

hey guys .ati dame wako ni fala hadi bra yake imeandikwa "weka matiti hapa"

8:55 AM  
Blogger benard koina said...

haha...ati kwenu mko masos hadi mkihama mnabeba mastuff na flashdisk.

3:43 AM  
Blogger Unknown said...

nyanyako ni mchafu hadi ye uhara inzi.
kwenu ni maskini hadi nyi usikiza inzi ka radio.
demu wako amejibleach hadi maghost ndio umukatia.
nyanyako amezeeka hadi mate yake imeturn to poison.
chakula chenu kiko na germs hadi inzi wa hao yenu uhara.

11:46 PM  
Blogger Unknown said...

ati naskia manzi yako ni mshort hadi akimeza mate anakojoa,...

4:45 AM  
Blogger Unknown said...

ati family yenu ni wengi mbaka ukifungua mlango wanamwagika kama mchele

12:34 PM  
Blogger Unknown said...

haaha that's funny...aty manzi yako mshamba hadi ukimpea Pk ye humeza na maji

7:10 AM  
Blogger Ajangkwizzy said...

nyinyi wase ni wanoma si mutume comebacks

12:38 AM  
Blogger Unknown said...

Manze type kiswahili mzuri
Wacha kukuwa umbwa umbwa....
M do more biggy kama Bakuli ya jela

7:37 PM  
Blogger Unknown said...

Ii site imewezašŸ˜‚

Uko na forehead kubwa unaoshanga ka maembešŸ˜‚

3:17 PM  
Blogger Unknown said...

Aty we ni mzee Hadi shimo ya matako imevutika

3:27 AM  
Blogger Unknown said...

We ni last born bt uko na kichwa kubwa Hadi sasa ww ndo head of the family

3:29 AM  
Blogger Unknown said...

Ati nimesikia first time yako kusikia facebook unatafuta kwa bookshop

12:41 PM  

Post a Comment

<< Home